Kagera Sugar 1-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 26/01/2022



Mabingwa watetezi wa #NBCPremierLeague Simba SC wamekula mweleka mbele ya Kagera Sugar wakichapwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Kagera limetiwa nyavuni na mkongwe, Hamis Kizza dakika ya 71.

Camiseta Manchester City 2019/2020 Celebración Pre Partido Multicolor Magasin en ligne spécialiste du football et des produits officiels des clubs de foot. Acheter des maillots, accessoires, chaussures et vetements de football

38 comentarios

  1. Km Kocha anajua anachofanya abadilishe mfumo wa uchezaji maana kila kocha ameshaukariri,kingine amtumie Kakolanya sasa hv Manula apumzike vinginevyo hakuna matokeo kwa staili hii Simba itagombea kupata top 4?

  2. Kweli simba tunapaswa kupanga upya. Kocha hawezi kuchezesha viuongo peke yao dk70 ili hali ameweka washambuliaji wote bench. Kumiliki mchezo ni jambo moja lakini kupata matokeo ni jambo muhimu zaidi.

Los comentarios están cerrados.