Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022



KARIAKOO DERBY: Kwa mara ya pili msimu huukwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, derby ya Kariakoo, Yanga na Simba inamalizika bila goli lolote kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Licha ya kutokuwepo mabao…. ilikuwa ni mechi dume …. Tazama highlights uone baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri kwenye mchezo huo.

Comprar Camisetas de Futbol Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France ! ✅ Livraison rapide ✚ Produits de qualité à petits prix ✓

48 comentarios

  1. I'm from South Africa and I enjoy watching these two Tanzanian FCs

    It seems like I'm leaning more the green n yellow one , maybe because I support mamelodi Sundowns with similar colours ??????

  2. hv hawa wachezaj wa simba kwa nn wanakua wanaleta hasira uwanjan?? yan kun mda djuma anapiga mpira morison anakimbia kwenda kweny miguu yake kwa nguvu na djuma akamkandamiza na miguvu lakn hakubweka sialiona huyo sio wa kutania??????

  3. JE,WAJUA MECHI KATI YA YANGA NA SIMBA YA TAREHE 30/04/2022 TIMU ZOTE ZILIINGIA UWANJANI NA WACHEZAJI PUNGUFU? HATA PICHA ZA UWANJANI KILA TIMU ILIPIGA NA WACHEZAJI 10,(RUDIA HIGHLIGHTS)….YANGA WALIINGIA 10 BILA YA NTABAZONKIZA NA SIMBA WALIINGIA 10 BILA YA INONGA,JE,REFA ALIJUA HILO? SHERIA 17 ZINASEMAJE?

  4. Azam Tafteni wataalam wa hko kwenye media, yaan highlight gan iwe na dakika 19? Alaf matukio ya kijinga jinga tu mnatuonesha. Yaan tureview zile dakika mbili za heshima, Kuna matukio muhimu na mazuri baadhi yao hayaonekani. Kutumalizia MB tu. Bora hata mungewapa ? times huenda wangeleta mitambo mingi na huenda wakawa wanatucholea na mistari ya offside.

  5. Simba huwa hkamii kumfunga yanga anachoangalia ni kucheza mpira ili aende kujitangaza kimataifa zaidi kuroga mmeloga na sare tumetoka uchawi bila kiwango ni bure ????

Los comentarios están cerrados.