Magoli | Yanga 2-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 22/06/2022



Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Haya hapa makombora yenyewe.

Camiseta Rcd Mallorca 1ª Equipación 21-22 Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France ! ✅ Livraison rapide ✚ Produits de qualité à petits prix ✓

26 comentarios

  1. Ibrahim Bacca ni moto wa kuotea mbali pale centre half. Kama mchezaji asiyepata namba anafanya mazoez mara mbili ya yule anayepata namba, bas Bacca anafanya mara 4. Tackling zake zmeenda shule, smooth tackling. Amekuwa bora sana kwny kujiamin na kuanzisha mashambulizi. Bacca mtu na nusu, Mungu amuhepushie majeraha. Ameziba vizuri pengo la Bakari Nondo Mwanyeto

Los comentarios están cerrados.