Azam FC 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 12/12/2021



Azam FC leo imekabwa koo na Kagera Sugar katika mchezo wa #NBCPremierLleague uliopigwa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo umemalizika kwa sare ya kutofungana licha ya kuanza na mkali wa mabao, Prince Dube ambaye amekuwa nje ya dimba tangu kuanza kwa msimu huu kutokana na majeraha.

Camiseta España Portero en negro2020 Edición Copa De Europa Nino Maillot De Football Personnalisé Pas Cher sur CLUB-SHOP ✓ Livraison rapide ✓ Devis PRO CLUBS en 24h ✓ + de 5000 Réf. Sport en Stock ✓

23 comentarios

  1. Wachezaji wa Azam wanakula mishahara bure bila kufanya kazi. Mzee Bakhresa hiyo timu ivunjilie mbali hapo Chamanzi Jenga kiwanda hata cha kutengeneza pipi za watoto utapata faida kubwa kuliko kuwa na wachezaji na benchi la ufundi wa hovyo kiasi hicho.

  2. Duu bosiee samaan Sana mzee tunajua kwamba hii timu ni yako nikweli ila tambua kwamba sisi ni mashabiki wa azam timu mpaka bidhaa zako mimi hata maji pia nanunua uhai enegi pia azam kwa mapenzi na timu sasa mbona timu inatunyima raa bosi wetu wa azam tatzo baba tunateseka

Los comentarios están cerrados.