Azam FC 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 12/12/2021

Azam FC leo imekabwa koo na Kagera Sugar katika mchezo wa #NBCPremierLleague uliopigwa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam. Mchezo huo umemalizika kwa sare ya kutofungana licha ya kuanza na mkali wa mabao, Prince Dube ambaye amekuwa nje ya dimba tangu kuanza kwa msimu huu kutokana na majeraha. Camiseta España Portero en negro2020 Edición… Seguir leyendo Azam FC 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 12/12/2021