Highlights | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League League – 14/05/2023

Tazama matukio na goli pekee la Edwin Balua wa Tanzania Prisons lililotosha kabisa kuwapa alama tatu ‘Wajelajela’. Camiseta de la 3ª equipación del Real Madrid 2018-19 vente de maillots de football de haute qualité de 100 %, nous vendons les derniers maillots de football pas cher. Maillots de football pour achat en ligne

Magoli | Kagera Sugar 2-2 Azam FC | NBC Premier League 16/12/2022

Azam FC wametanguliwa mawili…. lakini wakayachomoa yote na kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Magoli ya Kagera Sugar yamefunga na Yusuph Mhilu dakika ya 12, pamoja na Meshack Abraham Mwamita dakika ya 62 lakini Azam wakafanya mabadiliko yaliyozaa matunda kutoka wa Idd Seleman Nado aliyefunga la kwanza… Seguir leyendo Magoli | Kagera Sugar 2-2 Azam FC | NBC Premier League 16/12/2022

Kagera Sugar 1-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 28/11/2022

Goli pekee la Meshack Abraham kwa assist ya Ally Mashaka Ramadhan limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hii ni ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Camiseta Joma Getafe Cf Segunda Equipación 2020-2021 Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France !… Seguir leyendo Kagera Sugar 1-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 28/11/2022

Azam FC 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 12/12/2021

Azam FC leo imekabwa koo na Kagera Sugar katika mchezo wa #NBCPremierLleague uliopigwa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam. Mchezo huo umemalizika kwa sare ya kutofungana licha ya kuanza na mkali wa mabao, Prince Dube ambaye amekuwa nje ya dimba tangu kuanza kwa msimu huu kutokana na majeraha. Camiseta España Portero en negro2020 Edición… Seguir leyendo Azam FC 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 12/12/2021

Kagera Sugar 1-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 26/01/2022

Mabingwa watetezi wa #NBCPremierLeague Simba SC wamekula mweleka mbele ya Kagera Sugar wakichapwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Kagera limetiwa nyavuni na mkongwe, Hamis Kizza dakika ya 71. Camiseta Manchester City 2019/2020 Celebración Pre Partido Multicolor Magasin en ligne spécialiste du football et des produits officiels des clubs de… Seguir leyendo Kagera Sugar 1-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 26/01/2022