Magoli | Kagera Sugar 2-2 Azam FC | NBC Premier League 16/12/2022

Azam FC wametanguliwa mawili…. lakini wakayachomoa yote na kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Magoli ya Kagera Sugar yamefunga na Yusuph Mhilu dakika ya 12, pamoja na Meshack Abraham Mwamita dakika ya 62 lakini Azam wakafanya mabadiliko yaliyozaa matunda kutoka wa Idd Seleman Nado aliyefunga la kwanza… Seguir leyendo Magoli | Kagera Sugar 2-2 Azam FC | NBC Premier League 16/12/2022