Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Goli la Ben Ng’wani dakika ya 67 liliwapa ushindi Ihefu U20 dhidi ya Simba U20 katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea #AzamComplex , Chamazi. Hii ilikuwa ni mechi ya pili kwa timu zote hatua ya makundi… CAMISETA DE TRAINING CHELSEA FC 2020/2021 STRIKE BLANCO Le shop de football offre le tenue de… Seguir leyendo Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023

Timu ya vijana ya Tanzania Prisons U20 imeibutua Yanga SC U20 mabao 3-1 katika mchezo wa pili wa kundi B ligi kuu ya vijana U20 inayoendelea #AzamComplex , Chamazi magoli ya Tanzania Prisons yametoka kwa Emmanuel John Mbogo, Kelvin Mbonde Sengati, Iddy Juma Kichindo na goli la kufutia machozi la Yanga limetoka kwa Ladius Lucas… Seguir leyendo Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023

Magoli | Namumgo FC 1-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 09/06/2023

Tazama magoli yote mawili… Aliyeanza ni Bright Adjei dakika ya 69 na aliyejibu ni Pius Buswita dakika ya 79. Namungo ikatoika sare ya bao 1-1 na Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Majaliwa…. moja kati ya michezo wa kuhitimisha msimu iliyopigwa leo. Camiseta Manchester United 2ª Equipación 2019/2020 Niño maillot de foot manche longue.

Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa kuipa kichapo cha mabao 6-1 kwenye mchezo ligi kuu ya NBC uliopgwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Saido amefunga magoli hayo katika dakika za 16′, 21′, 27′, 79′ na 89′ huku goli lingine likifungwa Israel Patrick Mwenda dakika… Seguir leyendo Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama highlights…. Chandal Italia 2019 Verde Amarillo… Seguir leyendo Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama Magoli……. Camiseta Manchester United… Seguir leyendo Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022

Simba SC imeitandika Geita Gold magoli 5-0 kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, Clatous Chama dakika ya 40, Pape Sakho dakika ya 47 na 75 huku Kibu Denis naye akifunga goli lake la kwanza la msimu dakika ya 89. Camiseta Sao Paulo… Seguir leyendo Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022

Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 20/12/2022

Mabingwa watetezi… Yanga SC leo wamtoa kichapo kingine kwa Coastal Union, wakiwapiga 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa marudiano, ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Fiston Mayele amefunga mawili dakika ya 29 na 47 huku Feisal Salum akiongeza la tatu dakika ya 66. Tazama highlightys… Camiseta España Portero… Seguir leyendo Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 20/12/2022

Magoli na kadi nyekundu | Yanga 3-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 17/12/2022

Yanga imetumia kipindi cha pili kufunga magoli matatu ikiipa kichapo cha 3-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Wafungaji wa mabao hayo ni Jesus Moloko dakika ya 47, Fiston Mayele dakika ya 77 na Clement Mzize dakika ya 86. Katika mchezo huu pia, Polisi Tanzania… Seguir leyendo Magoli na kadi nyekundu | Yanga 3-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 17/12/2022

Magoli | Tanzania Prisons 1-2 Singida Big Stars | NBC Premier League 17/12/2022

Tanzania Prisons imeendelea kufanya vibaya kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine, Jijini Mbeya baada ya leo kupigwa 2-1 na Singida Big Stars, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Singida yametoka kwa Bruno Gomes dakika ya 5 na Medie Kagere dakika ya 57 huku Tanzania Prisons wakipata bao lao pekee kwa penati dakika ya 79 kupitia… Seguir leyendo Magoli | Tanzania Prisons 1-2 Singida Big Stars | NBC Premier League 17/12/2022