Magoli | Mbeya City 1-1 Simba | NBC Premier League 23/11/2022

Simba SC imekabwa koo na Mbeya City kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Simba wametangulia kwa goli la Mzamiru Yassin dakika ya 15 na Mbeya City kuchomoa dakika ya 79 kupitia kwa Tariq Seif. Camiseta Deportivo Alavés 2ª Equipación… Seguir leyendo Magoli | Mbeya City 1-1 Simba | NBC Premier League 23/11/2022

Magoli | Ruvu Shooting 0-4 Simba | NBC Premier League 19/11/2022

HAT-TRICK: Nahodha wa Simba, John Bocco amepiga #hattrick na kuipa timu yake ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague Bocco amefunga hattrick yake dakika ya 04′, 18′ na 69′ huku goli lingine likifungwa na beki Shomary Kapombe.… Seguir leyendo Magoli | Ruvu Shooting 0-4 Simba | NBC Premier League 19/11/2022

Goli la Coastal Union wakiwachapa Simba 1-0 Robo Fainali U20 Premier League 13/07/2022

ROBO FAINALI: Timu ya vijana ya Simba U20 imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka wa vijana wa Coastal Union, katika mchezo wa robo fainali ya ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la ushindi limetoka kwa Khamis Mgaya dakika ya 47 na kuwapeleka Wagosi nusu fainali huku Simba ikitupwa nje ya… Seguir leyendo Goli la Coastal Union wakiwachapa Simba 1-0 Robo Fainali U20 Premier League 13/07/2022

Magoli | Simba 2-0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 23/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yametoka kwa Pape Sakho na Peter Banda. Camiseta Suecia 2a Equipación 2020 -Où trouver l’offre maillot de foot pas cher au meilleur prix… Seguir leyendo Magoli | Simba 2-0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 23/06/2022

Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. KMC wametangulia kupata bao kupitia kwa Hassan Kabunda dakika ya 41 kabla ya Simba kuchomoa kwa goli la Kibu Denis dakika ya 52, kasha Pape Sakho akaongeza la… Seguir leyendo Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022

Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022

KARIAKOO DERBY: Kwa mara ya pili msimu huukwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, derby ya Kariakoo, Yanga na Simba inamalizika bila goli lolote kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Licha ya kutokuwepo mabao…. ilikuwa ni mechi dume …. Tazama highlights uone baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri kwenye mchezo huo. Comprar Camisetas de… Seguir leyendo Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022

Kagera Sugar 1-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 26/01/2022

Mabingwa watetezi wa #NBCPremierLeague Simba SC wamekula mweleka mbele ya Kagera Sugar wakichapwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Kagera limetiwa nyavuni na mkongwe, Hamis Kizza dakika ya 71. Camiseta Manchester City 2019/2020 Celebración Pre Partido Multicolor Magasin en ligne spécialiste du football et des produits officiels des clubs de… Seguir leyendo Kagera Sugar 1-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 26/01/2022