Azam FC U20 3-1 TZ Prison U20 | Highlights Robo fainali | U20 Premier League – 28/06/2023

Tazama mambo yalivyokuwa Azam FC ikiichabanga Tanzania Prisons kwa jumla yamabao 3-1 kwenye mchezo wa robo fainali ya U20 Premier League. Ni mchezo wa Robo Fainali na wafungaji ni Ashraf Kibeku, George Chande na Abdulkarim Kiswanya kwa upande wa Azam FC na Iddy Kichino kwa upande wa Tanzania Prison Camiseta Olympique de Marsella Segunda Equipación… Seguir leyendo Azam FC U20 3-1 TZ Prison U20 | Highlights Robo fainali | U20 Premier League – 28/06/2023

Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Goli la Ben Ng’wani dakika ya 67 liliwapa ushindi Ihefu U20 dhidi ya Simba U20 katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea #AzamComplex , Chamazi. Hii ilikuwa ni mechi ya pili kwa timu zote hatua ya makundi… CAMISETA DE TRAINING CHELSEA FC 2020/2021 STRIKE BLANCO Le shop de football offre le tenue de… Seguir leyendo Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023

Timu ya vijana ya Tanzania Prisons U20 imeibutua Yanga SC U20 mabao 3-1 katika mchezo wa pili wa kundi B ligi kuu ya vijana U20 inayoendelea #AzamComplex , Chamazi magoli ya Tanzania Prisons yametoka kwa Emmanuel John Mbogo, Kelvin Mbonde Sengati, Iddy Juma Kichindo na goli la kufutia machozi la Yanga limetoka kwa Ladius Lucas… Seguir leyendo Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023

Saidi Ntibazonkiza ndiye Kiungo Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF

TUZO ZA TFF: Saidi Ntibazonkiza akabeba Tuzo ya Kiungo Bora NBC Premier League. Amshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ Ni katika hafla ya Tuzo za TFF inayoendelea Mnyanjani jijini Tanga Camiseta Scc Napoli Amarilla x azul 2020-2021 Le shop de football offre le tenue de foot au prix… Seguir leyendo Saidi Ntibazonkiza ndiye Kiungo Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF

Highlights | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League League – 14/05/2023

Tazama matukio na goli pekee la Edwin Balua wa Tanzania Prisons lililotosha kabisa kuwapa alama tatu ‘Wajelajela’. Camiseta de la 3ª equipación del Real Madrid 2018-19 vente de maillots de football de haute qualité de 100 %, nous vendons les derniers maillots de football pas cher. Maillots de football pour achat en ligne

Djigui Diarra Kipa Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF 12/06/2023

TUZO ZA TFF: Hizi hapa sababu za Kipa Bora wa NBC Premier League, Djigui Diarra kutokuwepo kwenye hafla ya Tuzo za TFF. Mwakilishi wake abainisha Ni katika hafla ya Tuzo za TFF inayoendelea Mnyanjani jijini Tanga CAMISETA PRIMERA EQUIPACIÓN REAL MADRID Maillots de foot pas cher – Retrouvez en exclusivité tous les nouveaux maillot de… Seguir leyendo Djigui Diarra Kipa Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF 12/06/2023

Magoli | Namumgo FC 1-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 09/06/2023

Tazama magoli yote mawili… Aliyeanza ni Bright Adjei dakika ya 69 na aliyejibu ni Pius Buswita dakika ya 79. Namungo ikatoika sare ya bao 1-1 na Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Majaliwa…. moja kati ya michezo wa kuhitimisha msimu iliyopigwa leo. Camiseta Manchester United 2ª Equipación 2019/2020 Niño maillot de foot manche longue.

Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa kuipa kichapo cha mabao 6-1 kwenye mchezo ligi kuu ya NBC uliopgwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Saido amefunga magoli hayo katika dakika za 16′, 21′, 27′, 79′ na 89′ huku goli lingine likifungwa Israel Patrick Mwenda dakika… Seguir leyendo Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama highlights…. Chandal Italia 2019 Verde Amarillo… Seguir leyendo Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama Magoli……. Camiseta Manchester United… Seguir leyendo Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023